Tuwaombee mabaya wanawake wetu?

Tuwaombee mabaya wanawake wetu?

Hahaha mkuu ni kweli ulichosema but the best revange is to live well alafu akushuhudie ukitoboza
 
We kama jogoo bado anawika sijaona sababu ya kukomaa kwa dem ambae hakuwaz
 
nmejaribu kusoma vizurrrr sijaona sehemu anakutesa kama unavyosema, kama ulivyoandika ndivyo unavyoongea naye utakuwa unambore
 
Young Teacher

Hivi na sisi tukifanya hivyo .. mtapona kweli ? I think all men will die .. Just tenda wema nenda zako. Don't expect anything good back kwa binadamu. Take it as a challenge and move on .. Thanks..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom