elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Jana mida ya jioni nilikuwa nimetulia mara nikasikia mama flani jirani na nilipo anamshushia kipigo mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka kama mitano au sita. Alimpiga sana ikabidi niingilie nikamwambia atamuumiza anampiga mtoto vibaya, hakunijibu aliendelea kumshushia kipigo.
Mara akaanza sema hii ni mara ya tatu anamkamata wakiwa na wenzake wanafanya michezo ya kikubwa. Mwenzake akawa anasema tena unakuta vitoto vya kiume zaidi ya viwili, akawa anauliza vitoto alivyokuwa navyo vimeenda wapi.
Nilistaajabu sana maana watoto wote hao hakuna mwenye umri unaozidi miaka saba.
Kuna kitoto kimoja kina miaka kama saba kinasifika kuwalala wenzake, yaani kinaogopwa na watu wakikiona kipo karibu na mtoto wa kike wanakifukuza. Nikawa ninajiuliza hawa watoto wadogo hivi wanajua haya mambo, itakuwaje wakiwa na miaka 16 huko?
Tuwalinde watoto maana kwa sasa naona hata wao kwa wao wanaharibiana.