funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,199
Kitendo cha kupiga kura oktoba 29 ni jambo muhimu na hatua muhimu ya kuelekea uhuru kamili wa Tanzania.
Kwa miaka mingi Africa imekumbwa na migogoro inayosabsbishwa na vita baridi na vita kivuli(proxy war) baina ya mataifa makuu mawili yaani Mmarekani na mrusi.
Leo hii ukichunguza kwa kina na umakini utagundua kuwa vita vyovyote duniani nyuma yake yupo Mmarekani au Mrusi.
Vivyo hivyo ukichunguza maandamano yanayotokea nchi mbalimbali nyuma yake lazima utakuta ni vita kivuli kati ya mataifa makubwa.
Sasa kwa sisi tuliosoma na tulioangazia maswala ya GEOPOLITICS tunaona wazi kuwa chokochoko zote zitokeazo nchini zenye magnitude au ukubwa flani hutafsiriwa kama ni vita kivuli ya wababe wa dunia.
Zipo nyakati Mmarekani huandaa chaos dhidi ya mrusi au mrusi huandaa chaos dhidi ya mmarekani katika ardhi za nchi flani.
Kwa ufupi niseme mama Samia yupo vitani kuikabili vita kivuli(proxy war) ya wababe wa vita duniani na aghalabu hakuanza leo ...na pengine vita kivuli hii ndio iliyimuondoa mpendwa wetu J.P.M.
Zaidi niseme tuwakatae na kuwapuuza mawakala wa proxy wars wanaoshawishi maandamano yenye lengo la kuharibu haki yetu ya kidemokrasia.Tuwakatae na tuweke kisasi dhidi yao hata kama wapo ughaibuni.
Tanzania ina mali nyingi sana ndio maana wababe wawili au watatu wapo tayari kupambana ili kulinda mslahi yao.
#Kataa utumwa wa fikra
#Kataa vita kivuli
#oktoba ni tiki