Mwanangu tunaiita Eskoro ni Account iliyotengwa kwa ajili ya kusubiri mgogoro wa Tanesco Na IPT ... Mwanangu wajanja au majambazi wakaivamia hiyo account aaah subiri nikuzae uje uyaone mwanangu nikikusimulia yote ukiwa huko hutoki. halafu nakuogopa hata wewe mwanangu maana isije ikawa na wewe ni kafisadi.