Tuwachore

Hivi vile vipeperushi vilikuwa vinagawiwa watu tukiwa kwenye madaladala katika foleni Jijini Dar bado wanaendelea kuvitoa nimepamics Nyumbani sana na mambo yake.
 
Hivi vile vipeperushi vilikuwa vinagawiwa watu tukiwa kwenye madaladala katika foleni Jijini Dar bado wanaendelea kuvitoa nimepamics Nyumbani sana na mambo yake.
Ngojea tumwite Mtu huyu wa mabibo mkuu.@mshana jr njoo utujibu swali letu hili.
 
Tatizo hili lipo na hii biashara ni nzuri sana isipokuwa tu matangazo yawe kila kona basi hapo utawaona vijana tele na hasa hawa wa k k
 
Ngojea tumwite Mtu huyu wa mabibo mkuu.@mshana jr njoo utujibu swali letu hili.

Kaka acha hapa ni full usingizi vigodoro ndio msimu wake huu jana tumekesha nacho kilikuwa cha kusutana
Unajua huku kwetu hata mtu akinunua TV anaalika vigodoro...!
 
Ukitaka kujua ukubw wa tatizo nenda manzese useme nausa dawa ya ngumu za kiume jerojero.... .wengi watakaokimbilia ni vijana................
 
hakuna watu waongo kama masai. mimi toka udogoni navaa miwani, sasaivi ni mtu mzima. ajabu yake, nakutana nao mara nyingi sana wakiniona wanasema "yero, hii dawa inasafisa macho utatupa kabisa hiyo miwani yako".....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…