Hahahahhahaha ooooh My God, jamaa hasikii kabisa, yuko ndani ya music mkubwa anasikiliza beats na Elimu na viraka vyake hawezi sikilizwa kamweee!! Watoto wa huyo jamaa hapo wanasoma International Schools na sio Academic schools ikumbukwee, sasa nyie Kayumba schools mtasota sanaaaa!!! Daaah nimecheka sana ila hii ni ukweli mtupu!!!