Tuwachore

Utafikiri ikishakuwepo basi matatizo yote yataisha, na Tanzania itakuwa kama paradiso. Bila maadili katika maisha yetu katiba itabakia kuwa kama kitabu kingine tu, maana ujangili, rushwa, ubinafsi, wizi na maovu mengine yataendelea kuwepo kama kawaida
 
Huu pia ni mradi kama ilivyo miradi mingine yenye kupatia watu pesa!
 
Watu ndo wanatakiwa wabadilike sio maneno yaliyopo kwenye makaratasi.
 

Naiona kigoma ikiwa Dubai sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…