Tuwachore tu, huyu kipanya huyu!!!!

Tuwachore tu, huyu kipanya huyu!!!!

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,462
kipanya.jpg
Kasimama dede kwenye mlima ,sijui atafika juu
 
Nadhan akili itarudi sasa! Tumepoteza billions zanzibar kwa mambo yakitoto!
 
Nadhani Masoud Kipanya amekosea, lengo letu sio kuifikia MCC, bali ungeonesha tumekataa au tumenyang'anywa 'baby walker' ambayo ndio MCC kuyafikia malengo.
 
Nadhan akili itarudi sasa! Tumepoteza billions zanzibar kwa mambo yakitoto!
Jinga kweli ww unalilia hizo tr1 kwan aliziwekeza babaako? Baada ya kutafuta vyenu mnalilia vya kupewa
 
Jinga kweli ww unalilia hizo tr1 kwan aliziwekeza babaako? Baada ya kutafuta vyenu mnalilia vya kupewa
Kwan Mkwere nani alimtuma kwenda kuziomba? Mjinga wewe unayeshikishwa fagio kila jumamosi kwa ujinga wa serikali yako!
 
Jinga kweli ww unalilia hizo tr1 kwan aliziwekeza babaako? Baada ya kutafuta vyenu mnalilia vya kupewa

Haya tumekuelewa mgiriki mwenye uraia na tanzania... Uchungu wa nchi ya tz kwako ni zero
 
Kuna watu wanaongea utadhani wamalekani ndo walitulazimisha kuomba hizo hela.umatonya wa viongozi ndo utaliponza hili taifa
 
Kwahiyo wa Msoga wanamchukuliaje ( maana yeye ndiye aliomba )
 
Nashangaa ccm wanabeza pesa za MCC wakati upande wa pili wanashangilia kupata pesa za Japan, kweli sizitaki mbichi hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom