TUWACHORE JAMANi

Mangula hana hizo...jamaa haogopi kurudi shamba akalima...ni mtu mzima na hatishiwi nyau....Usiwaonee huruma mkuu..si Lowasa.. Magufuri, Membe Chenge au nani...komaa hadi mwisho wananchi wachague mtu wanae mtaka si kwa pesa bali uwezo wake wa kuongoza nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…