Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,912
- 3,991
Ni wakati muafaka kuwachambua vijana wawili walioaminiwa na cdm huku ikisemekana wawili hao mmoja ni kijana wa EL na mwingine mbowe,,,,,
Masha
Huyu ni mojawapo ya wanasheria wabobezi na aliwahi kuwa (mb) kwa kipindi fulani Ccm kabla ajahamia cdm na pia aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani kwa serekali ya awamu ya 4
Ubora wake
Ni mtaalamu wa sheria pia ni mtu alilelewa katika misingi ya ukwel na anajiamini , mtaalamu wa mikakati ,na mtu mwenye fitna na majungu juu ya wenzie mbinafsi na pia mroho madaraka
Udhifu wake
Ni kijana alielelewa katika misingi ya ukwel japo japo si mwaminifu pia ni mojawapo ya viongozi wakurupukaji na wasiopenda kukosolewa
Wenje
Huyu ni mojawapo ya wanasiasa wachache wa bunge la serekali ya awamu ya 4 ambao waliangukia pua na kushindwa kurejea bungeni
Ubora
Ni mtaalamu wa siasa za kishabiki (mob) na pia ni moja ya wanasiasa wenye hoja na vihoja, pia ni mojawapo ya vijana ambao wanaaminika ndani ya cdm mtetea hoja kwa ukali ilibidi hata kwa mateke na ngumi
Udhaifu
Udaifu wa wenje ni mmoja tu ni mwongeaji asie na vitendo hiki ndicho kilichomwangusha kule nyamagana
Kiufupi wote ni wanasiasa wakamilifu machache ni madhaifu yao ila naona kama hivi viatu aviwatoshi wakimbuke bunge la EAC sio la kupatia umaharufu na sehemu ya vihoja na vurugu Cdm tathimini vyema nafasi hizi kuliko kukurupuka
Ningetamani cdm ingekua chama mfano kuwaamini zaidi vijana kama akina godlisen malisa,katambi,na akina magoma zaidi ya kuendelea kuwatenga vijana ambao bado awajapata nyadhifa na watakua ni nguzo imara.
By gilbert massawe