Mnatafsiri mpaka mikao?Haya maisha unaishi kwa kukimbia? Basi kuna maeneo yake, mfano mazoezi na nguo zake.
Speaking of kukaa kwa kujiachia, mwanamke ana mikao yake na kila mkao una maana (tafsiri) yake…. sio kujikalia tu.
Kama vile vidude vya kucheze chessIla tuache utani, aliyewashonea Suruali Traffic wa Kike hawatakaa wauone Uzima wa milele wa mbingu wala Ahera. Yaani ile suruali akiwa mbali na lile shati jeupe utadhani ni li katuni fulani, halafu tumbo kubwaaaa kalio hamna!
Skirt ziliwafichia mengi
Sio kweli, suruali haimkatai mtu, the little i know labda kama mtu ashindwe kuchagua suruali inayoendana na mwili wake, tena jeans inamkubali kila mtu as long unajua kuchagua mtupio wa maana, top nzuri na chini kiatu kinachoendaUmewachoma na kitu chenye ncha kali.
Jiamini na jipende, as long you are happy with your dressing styleMie shape Sina na suruali siachi kuvaa hasa zile za kuchana mbele mipaja meusi Ila nakomaa na fasheni.
Yani nije kujutia uzeeni kwa kutoutumia ujana kisa sina shepu khaa hata tait nazivaa balaa Ila Shepu Kama ya mwarabu fighter
Nyie wenye shepu zenu mnaponza wenzenu
Hatuwezi kuwaachaTuacheni jamani, tuacheni.....
Tuacheni....Hatuwezi kuwaacha
Kwa hiyo Flat screen waendelee kuvaa magauni hadi hapo watakapotangaziwa vinginevyo??Tatizo wengi wanaouza izo suruali hua wana shepu za kueleweka, sasa kina mwajuma mtaani wakiona zile picha insta jinsi suruali ilivyokaa mahali pake nao wanaagiza! Suruali inataka tumbo flat, hips na kamzigo kwa nyuma. Kinyume na hapo
Alitumia kigezo gani?Nakumbuka Dr. (Mwalimi) mmoja alituambia kutokana na maumbile suruali ni vazi la mwanamke. Ila mwanaume baada ya kuona anakosa Uhuru mbele ya mke akivaa Gauni akabadilisha utaratibu. Mfano ni pale mjomba akiamka unaanza kutafuta pakukaa ghafla.
Pm kufanya nini tena??!!!Hatuwezi,nasisitiza hatuwezi.Km unabisha njoo Pm
MnyookoMinazi ndo nini tena jamani!
Ha ha ha dahNa namba tisa yangu flati skirini ila suruali ndo siwezi kuacha kuvaa