Tuwaambie tu ukweli kina dada, ni wachache mno wanaopendeza kwa suruali

Haya maisha unaishi kwa kukimbia? Basi kuna maeneo yake, mfano mazoezi na nguo zake.

Speaking of kukaa kwa kujiachia, mwanamke ana mikao yake na kila mkao una maana (tafsiri) yake…. sio kujikalia tu.
Mnatafsiri mpaka mikao?

Dunia simama nishuke
 
Ila tuache utani, aliyewashonea Suruali Traffic wa Kike hawatakaa wauone Uzima wa milele wa mbingu wala Ahera. Yaani ile suruali akiwa mbali na lile shati jeupe utadhani ni li katuni fulani, halafu tumbo kubwaaaa kalio hamna!

Skirt ziliwafichia mengi
Kama vile vidude vya kucheze chess
 
Mie shape Sina na suruali siachi kuvaa hasa zile za kuchana mbele mipaja meusi Ila nakomaa na fasheni.
Yani nije kujutia uzeeni kwa kutoutumia ujana kisa sina shepu khaa hata tait nazivaa balaa Ila Shepu Kama ya mwarabu fighter
Jiamini na jipende, as long you are happy with your dressing style
 
Tatizo wengi wanaouza izo suruali hua wana shepu za kueleweka, sasa kina mwajuma mtaani wakiona zile picha insta jinsi suruali ilivyokaa mahali pake nao wanaagiza! Suruali inataka tumbo flat, hips na kamzigo kwa nyuma. Kinyume na hapo
Kwa hiyo Flat screen waendelee kuvaa magauni hadi hapo watakapotangaziwa vinginevyo??
 
Nakumbuka Dr. (Mwalimi) mmoja alituambia kutokana na maumbile suruali ni vazi la mwanamke. Ila mwanaume baada ya kuona anakosa Uhuru mbele ya mke akivaa Gauni akabadilisha utaratibu. Mfano ni pale mjomba akiamka unaanza kutafuta pakukaa ghafla.
Alitumia kigezo gani?
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom