NENDA SHULE MKUU UMEZIDISHA SANA AISEE.
Pitch.
Pale pa kuchezea Mpira.
Pale kwenye nyasi
Na Nyasi zenyewe.
Selikali imeufunga Uwanja kwa miaka 3 na Kutenga Bilioni 31 ili parekebishwe hadi leo hakuna Marekebishobyoyote.
Yani hakuna.
1. Drainage sytem za kutoa maji.
2. Hakuna layer za udongo kuinua uwanja.
3. Majani mabaya yaliyochoka nk.
Turn base inatakiwa kufumuliwa yote na kuanza upya kuweka Drainage, udongo na kupanda majani Upya.