P phenomenonP New Member Feb 2, 2011 2 0 Feb 3, 2011 #22 count me in!and,hauvunji sheria yoyote bse inviting people to dress decently siyo kosa,labda tungesema watu watembee utupu.
count me in!and,hauvunji sheria yoyote bse inviting people to dress decently siyo kosa,labda tungesema watu watembee utupu.
Ta Muganyizi R I P Oct 19, 2010 5,361 2,734 Feb 3, 2011 #23 loh tumeni ujumbe jambo tanzania, tbc 1 utasomwa
Ntemi Kazwile JF-Expert Member May 14, 2010 2,182 307 Feb 3, 2011 Thread starter #25 Ta Muganyizi said: loh tumeni ujumbe jambo tanzania, tbc 1 utasomwa Click to expand... Wazo zuri lakini TBC? of all stations? Kwa TBC haiwezekani kwani atakayefanya hivyo wata mTido siku hiyo hiyo.
Ta Muganyizi said: loh tumeni ujumbe jambo tanzania, tbc 1 utasomwa Click to expand... Wazo zuri lakini TBC? of all stations? Kwa TBC haiwezekani kwani atakayefanya hivyo wata mTido siku hiyo hiyo.
VoiceOfReason JF-Expert Member Nov 4, 2010 5,194 1,355 Feb 5, 2011 #26 Jamani ile siku mliyosema ndio leo.....