Tuvae vitambaa vyeusi au nguo nyeusi tarehe 05 February | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuvae vitambaa vyeusi au nguo nyeusi tarehe 05 February

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Feb 2, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna mwanajamvi {VoiceoftheReason) ametoa pendekezo badala ya kuandamana tubuni kitu kingine kama kuvaa vitambaa vyeusi ili kuonyesha kutofurahishwa kwetu na hatua ya serikali kuilipa Dowans.

  Ninamuunga mkono na napendekeza tulifanye hili tarehe 5 February liende sambamba na maazimisho ya miaka 34 ya CCM.

  Tuna muda na hatuhitaji idhini ya mtu yeyote kuvaa tunachopenda... Mimi nitajifunga kitambaa cheusi mkono wangu wa kushoto kama maombolezo ya miaka 34 ya udhalimu na unyonyaji wa CCM kuanzia kesho.

  Naomba muniunge mkono
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  wa kwanza mimi kukuunga mkono... Ntavaa black top to bottom kesho... Such a wonderful idea
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii inasomeka
   
 4. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  wa kwanza mimi kukuunga mkono... Ntavaa black top to bottom hiyo tareha 5... Such a wonderful idea.... Tena baba yangu alifariki tarehe hiyo hiyo, ntamuenzi pia.. Lakini hakufa kifo cha aibu kama ccm itakavyokufa.....
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu kweli kabisa tupo pamoja....
   
 6. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tuwajuze nawengine wengi tuazimishe kwa majonzi
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nice idea....
   
 8. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [​IMG]Babu hapa mlikuwa wapi na bibi?
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Tena hii issue itakuwa rahisi kama kila mtu atatuma sms ya huu ujumbe kwa marafiki zake wote kwenye simu na atakayepokea na yeye atume kwa wengine..., pass it on...., bila kujua huenda hata JK siku hiyo akavaa Black :)
   
 10. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yes mimi nimewatumia jamaa zangu kwenye mtandao, wasije wakanichakachua kwa uchochezi, kuna sheria yeyote navunja kufanya hivyo??
   
 11. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  wazo zuri sana hlo......... nami pia nitakuwepo katika hlo.......... Tayar nw ninayo t shirt iloandkwa : R.I.P CCM" Nasubiri cku ifike
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  naunga mkono hoja na niwazo zuri sana..
   
 13. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Tena itakuwa ni biashara nzuri tu kwa viwanda vyetu vya nguo...:clap2:
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0

  inasomeka vizuri.....mkuu ili kuwe na muda wa word of mouth information to everyone in TZ kwani 5 february 2011 ni karibu sana... ninashauri hili zoezi lipangwe na kuratibiwa madhubuti ili lilete impact kubwa kwa jamii na nchi nzima basi lifanyike April fool.... 01/04/2011
   
 15. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama Fools Day ni muafaka kufanya kitu serious kama hiki. Mara nyingi siku hii huchukuliwa kama mzaha na mambo yanayofanyika siku hii huchukuliwa kwa mzaha.

  Bado muda unatosha kwa 5/Feb.
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu...kwanza tarehe 05/feb. ni jumamosi...pia april fool itakua ni one of the bigest advantage ya kuhalalisha tukio .... na joke hii itakuwa ni visa verse ya ukweli...... mkuu hili wazo ni zuri na litakua na maana kama litatekelezeka na watu wengi kwa kuratibiwa vizuri..... vinginevyo watu wachache wataonekana vituko
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  yako mmh ungekuwa shinyanga wala auitaji kuaga
   
 18. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  I doubt if people are really serious on this!
   
 19. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Wazo ulilolitoa ni zuri sana mkuu hasa ukizingatia muda utakuwepo wa kutosha ili hizi taarifa zimfikie kila mwanamageuzi na mpenda maendeleo ya Taifa hili.
   
 20. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Wakubwa mi nawaunga mkono kwa hilo but tufanyeje ili hii idea iwafikie wengine?? Ki ukweli iyo tarehe 5/2/ inatakiwa iwe siku rasmi kila mwaka kwetu sisi kuiathimisha coz ndo siku adui yetu amefariki Tanzania. So siri naichukia CCM na CUF!!
   
Loading...