E El nino jr Member Joined Aug 7, 2014 Posts 66 Reaction score 24 Oct 16, 2022 #1 Habari za mchana kwema wana jf, twende kwenye mada.Siku hizi magari yamekuwa adimu sana watu hawataki kutuuzia magari yao ya namba D na sisi tuvimbe nayo mtaani.wakati sasa namba E uko inakimbia hatarii
Habari za mchana kwema wana jf, twende kwenye mada.Siku hizi magari yamekuwa adimu sana watu hawataki kutuuzia magari yao ya namba D na sisi tuvimbe nayo mtaani.wakati sasa namba E uko inakimbia hatarii
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,808 Reaction score 110,047 Oct 16, 2022 #2 Tafuta nyuzi za kuuziana magari humu, zipo kama mbili tatu hivi...