Tuutathimini uhusiano wetu na Israel

Tuutathimini uhusiano wetu na Israel

Sera bado ni NAM na sasa tunatekeleza Economic diplomacy , hivyo nashangaa watu wanaingiza mambo ya imani ,

Kama ni kuuwawa ,watu wanakufa kila mahali mgogoro una miaka 70 ,kwanini hamas waendelee kuwatumia watu wasio na hatia kupigana vita

Tunahitaji teknolojia n.k kutoka Israel ,sisi tutabaki na maazimio ya UN na sio US lakini , pia lazima tuangalie maslahi ya Tanzania


Angalia nini Wayahudi wanafanya Afrika , Ona mwenyewe


 
kuna sehemu mleta Mada kasema Barabara ya Mandela ilijengwa na Israel (wakati huo tukiwa na uhusiano na Israel)
Hapana Port access imejengwa 1980-1982 tena Kambarage alikuwepo, jambo hilo lisingewezekana
Kwanini isiwezekane mkuu? Port access ilijengwa 1980-82 au ilikarabatiwa hiyo miaka? Nyaraka zinasema hivyo kwamba waisrael walijenga barabara ya Mandela. Images sijatafuta ni mwaka gani?
 
Sijaelewa kwa nini tuliwakumbatia Wapelestina kama hatufungamani na upande wowote? Sasa kwa nini tuna laumu kurejeshwa kwa balozi na kuhudhuriwa kwa sherehe za kufunguliwa ubalozi wa US kama hatufungamani upande wowote?
Na mwisho kwa nini kufungamana na Wapalestina sio kufungamana na upande wowote?
Bila shaka wewe Uliitendea haki Elimu yako!! safi sana. endelea hivyohivyo!!!

Mpuuze huyu jamaa ana kau Dini Dini hivi!

Wapalestina na wa Israel wote pale siyo kwao ni wavamizi tu. japo Muarabu kidogo amechanganya na Damu asilia. lkn ni wabaguzi kupitiliza!
 
Izrael walishafanya watu wajinga, waliwatengenezea Mungu, wakawatengenezea maandiko jinsi ya kumuabudu huyo Mungu na pia wakawatengenezea dini ya kumuabudu Mungu.

Zaidi wakawaambia usipowaombea huyo Mungu waliemtengeneza hatakubariki.

Kwa namna yoyote waamini wa dini za kiyahudu hawawezi kukuelewa.

Izrael inaua wapalestina huku watu wanaiombea, kila ikiua watu wanaiombea iendelee kuua.
Acha upumbavu yaani sisi wajinga ? mjinga ni wewe unae fuata bila kuhoji sisi tulisha kataaga kitambo ujinga wenu huuu!!!!
 
Izrael walishafanya watu wajinga, waliwatengenezea Mungu, wakawatengenezea maandiko jinsi ya kumuabudu huyo Mungu na pia wakawatengenezea dini ya kumuabudu Mungu.
Nakuapia hizo bangi zako zako ni bora uwahi Mirembe kwa msaada kwani uendawazimu upo mlangoni.
 
Back
Top Bottom