Tuutafakari msemo kwa siku ya leo!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,069
Reaction score
28,154
Nadharia ya msemo huu inaendana na jinsi vile dunia inakwenda,ipo misemo ambayo mara utakapoenda nayo kinyume basi dunia yote inaweza kukuelemea!...
-Ni moja ya kanuni ambayo hutumiwa sana na cult mbalimbali.
 
Nadharia ya msemo huu inaendana na jinsi vile dunia inakwenda,ipo misemo ambayo mara utakapoenda nayo kinyume basi dunia yote inaweza kukuelemea!...
-Ni moja ya kanuni ambayo hutumiwa sana na cult mbalimbali.View attachment 3692364
Kinachonifanya nitafakari si msemo wenyewe, bali sababu inayoufanya ukubalike na wengi. Wakati mwingine jamii humfundisha mtu kufuata kanuni bila kuhoji, kiasi kwamba kuzipinga huonekana kama kwenda kinyume na dunia.

Lakini swali ni hili: Je, kila kanuni inayotawala dunia ni ya kweli, au nyingine zinaendelea kutawala kwa sababu tu watu wengi wamezikubali? Hapo ndipo tofauti kati ya kufuata mfumo na kuuelewa mfumo ilipo.
 
Fact,ulimwengu huu,kuna vizazi vingi vilisha upita,kwa hiyo principle nyingi huwa katika mafundisho waliopitia ndugu zetu wa kale,mfano,
--""Unampangaji anakusumbua kodi anakusababishia umasikini,huo ni ujinga wako mwenyewe""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…