Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Magu ni Godfather
Na profesa Kabudi ndio Consigliere wake
Makonda ndio caporegime mkuu
Offer wanayokupa huwezi kuikataa, utaumia
Unafikiri ni jero eehHoja ya hovyo tu, magunia kwani shs ngapi?
Ndio wewe kwenye Avatar hapo ? Sura kama umegongwa na treni .Acheni upuuzi nyie!
Ukijibiwa nitag!!Kwahiyo wamemkopa au wamechukua kibabe...??
Hiyo hoja yako haina mantiki kwenye haya maelezo labda kama unataka kutuambia kwavile ni serikali basi ina uwezo na haki ya kudhulumu raia wake na ikibidi hata kuwateka na kuwatisha! Acheni kutetea ujinga kwa sababu hayana mmoja haya! Kama yaliyosemwa hapa yana ukweli a yanakaribia ukweli, sasa wewe na familia yako ni nani muweze kusalimika na mikono ya kifedhuli na kiharamia kama hii ikiwa hata mtu kama Dewji imeshamdhuru?! Miezi kadhaa iliyopita wapo ambao waliona kilichomponza Manji ni ujeuri wake! Sidhani kama Mo nae ni miongoni mwa wenye hizo jeuri! Kwahiyo endeleeni kuhalalisha ushenzi unaoendelea mkidhani nanyi mpo salama! Hakuna aliye salama! Hata wale waliotumbuliwa kwa madai ya vyeti feki ni miongoni mwa waliokuwa wanatetea ufedhuli kabla hayajawakuta! Matokeo yake, wanasaga meno huku mafedhuli wasio na vyeti kama wao wakiendelea kupeta tu! THINK!Ukijibiwa nitag!!
Hakuna mkubwa zaidi ya Serikali.
Hawajui una nini ndaniImekuaje uzi haujafutwa? Ama ni kweli nchi tupo kwenye anguko!
Yawezekana hata uhai ukabadilishwa kwa magunia tu 😳 😳 😳 😳Unakopwaje ukiwa na cheni mikononi?
Hayo yanakuwa mabadilishano ya mali na uhuru.
Mkuu dot no. 5 & 6 zinaeleza kuwa hawakuafikiana ndio maana sirikali ikatumia ubabe wa kijinga ambao dot no. 8 inaelezea mafanikio yake.Moyo wangu umesimama kwa muda nilibung'aa.. Kweli kuwa uyaone..haya maigizo kweli ni sirikali..wanafanya usanii tu ilimradi kuhadaa umma. Kwa nini wasingemuita waelewane?
...habari umeipata sehemu nyeti....Nasikia kumbe kuna hela baadhi ya wafanya biashara wakubwa waliombwa kila mmoja kutoa wenzake wakatoa yeye nasikia alisema hawezi kutoa hiyo hela maana analipa kodi nyimgi nnyetia kubwa hivyo akafanyiwa umafia huo.hii nimeipata sehem nyeti kwa mtu ambae kwa kweli alivyokuwa anaongea huenda kama kuna kaukweli maana hapo alipo ni sehem nyeti