kipanga mlakuku
Member
- Jun 9, 2011
- 92
- 53
hata mie nashanga!Sasa hapa Mwanakijiji anahusika vp?
Kwako comrade Mwanakijiji, Najua wewe ni mkereketwa wa mageuzi huko nyumbani Tanzania, sasa tupa jicho lake huko Zambia tayari wakiritimba wamesombwa na mawimbi, geukia Egypty , Libya na Tunisia tayari madikteta wamefyekwa, just unganisha doti utafahamu ukweli kuhusu anguko kuu la CCM , nasema unganisha doti anguko laja kama si leo ni lini basi?
hata mie nashanga!
Najua hoja hii imeelekezwa kwa Mwanakijiji - Sipendi kumjibia.
Ila kwa kuwa imewekwa kwenye jukwaa naomba niseme kuwa ... You cannot join dots where there are no dots. The Zambia dots are different from the Egypt, Tunisia and Libya - Zambia is through votes while the rest is peoples POWER!
Politics za Zambia ni za kipekee sana. Kaunda aliondoka, Chiluba na sasa Banda. Mara mbili wameonyesha kuwa chama tawala kinaweza kutolewa madarakani kwa sanduku la kura. Hotuba ya juzi juzi ya Banda ilinifanya niamini kuwa bado kuna wanasiasa wanaosimamia dhamira safi na wasiotaka dhamira zao ziwashtaki. Serikali yetu na viongozi wake dhamira zao zimekufa. Wako tayari kuutetea uongo hata kama wanajua hata mtoto mdogo anajua kuwa huo ni uongo.
Kinachoweza kufanyika ni nguvu ya watu ... Sioni namna CCM itakavyokubali kutolewa kwa sanduku la kura. Hapa naomba niwe Tomaso. Let Igunga prove me wrong!
I am still a gud student of Nyerere philosophy that ili tuendelee tunahitaji vitu vinne: watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. I call them the four pearls of development. During Nyereres time we had all four (not 100% of each but we had them). In Ruksas time we lost uongozi bora, in Ukapas time, we lost ardhi through uwekezaji holela and in now in JKs (or as someone nicknamed Kigeugeu), we have lost siasa safi.
I urge my fellow citizens: Chonde chonde jamani tumebaki sisi (watu) tu. Lets stand on our feet and regain the three lost pearls before it is our turn (if not us our children) to be lost.
Sasa hapa Mwanakijiji anahusika vp?
Ndio maana mmeambiwa muunganishe doti........hata mie nashanga!
kaka nikusahihishe pale pekundu - "and now in JKs(or as someone nicknamed kigeugeu, we lost all four.Najua hoja hii imeelekezwa kwa Mwanakijiji - Sipendi kumjibia.
Ila kwa kuwa imewekwa kwenye jukwaa naomba niseme kuwa ... You cannot join dots where there are no dots. The Zambia dots are different from the Egypt, Tunisia and Libya - Zambia is through votes while the rest is peoples POWER!
Politics za Zambia ni za kipekee sana. Kaunda aliondoka, Chiluba na sasa Banda. Mara mbili wameonyesha kuwa chama tawala kinaweza kutolewa madarakani kwa sanduku la kura. Hotuba ya juzi juzi ya Banda ilinifanya niamini kuwa bado kuna wanasiasa wanaosimamia dhamira safi na wasiotaka dhamira zao ziwashtaki. Serikali yetu na viongozi wake dhamira zao zimekufa. Wako tayari kuutetea uongo hata kama wanajua hata mtoto mdogo anajua kuwa huo ni uongo.
Kinachoweza kufanyika ni nguvu ya watu ... Sioni namna CCM itakavyokubali kutolewa kwa sanduku la kura. Hapa naomba niwe Tomaso. Let Igunga prove me wrong!
I am still a gud student of Nyerere philosophy that ili tuendelee tunahitaji vitu vinne: watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. I call them the four pearls of development. During Nyerere's time we had all four (not 100% of each but we had them). In Ruksa's time we lost uongozi bora, in Ukapa's time, we lost ardhi through uwekezaji holelaand in now in JKs (or as someone nicknamed Kigeugeu), we have lost siasa safi.
I urge my fellow citizens: Chonde chonde jamani tumebaki sisi (watu) tu. Lets stand on our feet and regain the three lost pearls before it is our turn (if not us our children) to be lost.
Najua hoja hii imeelekezwa kwa Mwanakijiji - Sipendi kumjibia.
Ila kwa kuwa imewekwa kwenye jukwaa naomba niseme kuwa ... You cannot join dots where there are no dots. The Zambia dots are different from the Egypt, Tunisia and Libya - Zambia is through votes while the rest is peoples POWER!
Politics za Zambia ni za kipekee sana. Kaunda aliondoka, Chiluba na sasa Banda. Mara mbili wameonyesha kuwa chama tawala kinaweza kutolewa madarakani kwa sanduku la kura. Hotuba ya juzi juzi ya Banda ilinifanya niamini kuwa bado kuna wanasiasa wanaosimamia dhamira safi na wasiotaka dhamira zao ziwashtaki. Serikali yetu na viongozi wake dhamira zao zimekufa. Wako tayari kuutetea uongo hata kama wanajua hata mtoto mdogo anajua kuwa huo ni uongo.
Kinachoweza kufanyika ni nguvu ya watu ... Sioni namna CCM itakavyokubali kutolewa kwa sanduku la kura. Hapa naomba niwe Tomaso. Let Igunga prove me wrong!
I am still a gud student of Nyerere philosophy that ili tuendelee tunahitaji vitu vinne: watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. I call them the four pearls of development. During Nyerere's time we had all four (not 100% of each but we had them). In Ruksa's time we lost uongozi bora, in Ukapa's time, we lost ardhi through uwekezaji holela and in now in JKs (or as someone nicknamed Kigeugeu), we have lost siasa safi.
I urge my fellow citizens: Chonde chonde jamani tumebaki sisi (watu) tu. Lets stand on our feet and regain the three lost pearls before it is our turn (if not us our children) to be lost.
Najua hoja hii imeelekezwa kwa Mwanakijiji - Sipendi kumjibia.
Ila kwa kuwa imewekwa kwenye jukwaa naomba niseme kuwa ... You cannot join dots where there are no dots. The Zambia dots are different from the Egypt, Tunisia and Libya - Zambia is through votes while the rest is peoples POWER!
Politics za Zambia ni za kipekee sana. Kaunda aliondoka, Chiluba na sasa Banda. Mara mbili wameonyesha kuwa chama tawala kinaweza kutolewa madarakani kwa sanduku la kura. Hotuba ya juzi juzi ya Banda ilinifanya niamini kuwa bado kuna wanasiasa wanaosimamia dhamira safi na wasiotaka dhamira zao ziwashtaki. Serikali yetu na viongozi wake dhamira zao zimekufa. Wako tayari kuutetea uongo hata kama wanajua hata mtoto mdogo anajua kuwa huo ni uongo.
Kinachoweza kufanyika ni nguvu ya watu ... Sioni namna CCM itakavyokubali kutolewa kwa sanduku la kura. Hapa naomba niwe Tomaso. Let Igunga prove me wrong!
I am still a gud student of Nyerere philosophy that ili tuendelee tunahitaji vitu vinne: watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. I call them the four pearls of development. During Nyereres time we had all four (not 100% of each but we had them). In Ruksas time we lost uongozi bora, in Ukapas time, we lost ardhi through uwekezaji holela and in now in JKs (or as someone nicknamed Kigeugeu), we have lost siasa safi.
I urge my fellow citizens: Chonde chonde jamani tumebaki sisi (watu) tu. Lets stand on our feet and regain the three lost pearls before it is our turn (if not us our children) to be lost.
me too !I like this!