Tuunganishe dots Mwanakijiji et al - kwanini Upinzani umeshinda Zambia, Tanzania je.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuunganishe dots Mwanakijiji et al - kwanini Upinzani umeshinda Zambia, Tanzania je..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipanga mlakuku, Sep 27, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwako comrade Mwanakijiji, Najua wewe ni mkereketwa wa mageuzi huko nyumbani Tanzania, sasa tupa jicho lake huko Zambia tayari wakiritimba wamesombwa na mawimbi, geukia Egypty , Libya na Tunisia tayari madikteta wamefyekwa, just unganisha doti utafahamu ukweli kuhusu anguko kuu la CCM , nasema unganisha doti anguko laja kama si leo ni lini basi?
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Igunga kuna Moto mkuu wa mageuzi! Ndo maana siasa za udini na umafia zinafanyika!
   
 3. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Sasa hapa Mwanakijiji anahusika vp?
   
 4. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  hata mie nashanga!
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  wote twaungoja kwa hamu mwereka wa magambaz
   
 6. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Najua hoja hii imeelekezwa kwa Mwanakijiji - Sipendi kumjibia.

  Ila kwa kuwa imewekwa kwenye jukwaa naomba niseme kuwa ... You cannot join dots where there are no dots. The Zambia dots are different from the Egypt, Tunisia and Libya - Zambia is through votes while the rest is peoples POWER!

  Politics za Zambia ni za kipekee sana. Kaunda aliondoka, Chiluba na sasa Banda. Mara mbili wameonyesha kuwa chama tawala kinaweza kutolewa madarakani kwa sanduku la kura. Hotuba ya juzi juzi ya Banda ilinifanya niamini kuwa bado kuna wanasiasa wanaosimamia dhamira safi na wasiotaka dhamira zao ziwashtaki. Serikali yetu na viongozi wake dhamira zao zimekufa. Wako tayari kuutetea uongo hata kama wanajua hata mtoto mdogo anajua kuwa huo ni uongo.
  Kinachoweza kufanyika ni nguvu ya watu ... Sioni namna CCM itakavyokubali kutolewa kwa sanduku la kura. Hapa naomba niwe Tomaso. Let Igunga prove me wrong!

  I am still a gud student of Nyerere philosophy that ili tuendelee tunahitaji vitu vinne: watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. I call them the four pearls of development. During Nyerere's time we had all four (not 100% of each but we had them). In Ruksa's time we lost uongozi bora, in Ukapa's time, we lost ardhi through uwekezaji holela and in now in JKs (or as someone nicknamed Kigeugeu), we have lost siasa safi.

  I urge my fellow citizens: Chonde chonde jamani tumebaki sisi (watu) tu. Lets stand on our feet and regain the three lost pearls before it is our turn (if not us our children) to be lost.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kupata mshiko wa uzi wake kwenye hili jukwaa la siasa
   
 8. MANI

  MANI Platinum Member

  #8
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Well said mkuu !
   
 9. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Thanks
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ndio maana mmeambiwa muunganishe doti........
   
 11. 2

  2simamesote Senior Member

  #11
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napita
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Thread ya ki-lofa kweli kweli.
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mwanzisha mada si ungemtumia PM Mwanakijiji?
  Au ungeenda kupost kwenye fesi buku yake!
   
 14. F

  FUSO JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  kaka nikusahihishe pale pekundu - "and now in JKs(or as someone nicknamed kigeugeu, we lost all four.
   
 15. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  ni ngumu kuelewa watz tuna nini vichwani mwetu hadi tuwe wazito wa mabadiliko namna hii, nw niko kijiji kimoja huku Iringa yani shida tupu,. watu ni kama wamelishwa limbwata na kijani,daaah,..ukimuuliza mtu unadhani ni nini kinapelekea watu kwenye kijiji hiki kuishi kwa tabu namna hii ilihali ni sehemu ambayo kuna uzalishaji mkubwa mno wa chakula, ardhi ni yenye rutuba pasipo mfano..jibu unalopata ni Baba we acha tu,. Ukiuliza sasa vipi kura yako uliitumia vyema??? Jibu unalopewa ni kuwa baba huoni nguo hizi (kanga na vilemba vya kijani na njano), ningekuwa nimevaa nini saa hizi na hili baridi!!! kwa kweli haya ndiyo mavazi yaliyotawala huku,utadhani ni sare za shule kwa kila mwanakijiji,...

  Piteni na huku kina Zitto,Mnyika Lipumba na wengine wenye kuweza kusema mkasikilizwa...wanaangamia hawa pasipo hatia kwenye ardhi yao wenyewe,inatia sana huruma,.. Nashindwa kuamini kuwa hatia ni kura yao, bali hawa hawajapata nafasi ya kusikia altenatives ya maisha magumu wanayoishi.. Nawaomba mzingatie hili..VIJIJINI BADO.
   
 16. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Most Tanzanians lives in theories not practical!! that weakness is a huge advantage to ccm. CCM always asserts theories to his citizens guiding them to believe in illusions! illisions like udini, ukabila, vita, ubaguzi, e.t.c has crippled/obsessed Tanzanians. Tunatembea ndani na nje ya nchi tukijigamba Tanzania ni nchi ya amani yenye utajiri while naked, illeterates, and cannnot even buy a lunch!!! STUPID!!!!!!. ccm always brags that has brought good lives to Tanzanians while every Tanzanian Knows how miserable he/she is, but becaused of too much illusions, he believes on what this vampire tells him!!!!
  We probably needs a massiah who will be walking street by street, house by house, person by person, neighborhood by neighborhood to awaken our dead brain!!
  IF THERE IS GOD SOMEWHERE OUT THERE, PLEASE BRING THAT MASSIAH TO US!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  I like this!
   
 18. S

  Stany JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  me too !
   
 19. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #19
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  ni kweli kabisa ccm hawana jipya na ndo kifo chao kimewadia.........
   
 20. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  You said it all,i salute my brother!

  Najua hoja hii imeelekezwa kwa Mwanakijiji - Sipendi kumjibia.

  Ila kwa kuwa imewekwa kwenye jukwaa naomba niseme kuwa ... You cannot join dots where there are no dots. The Zambia dots are different from the Egypt, Tunisia and Libya - Zambia is through votes while the rest is peoples POWER!

  Politics za Zambia ni za kipekee sana. Kaunda aliondoka, Chiluba na sasa Banda. Mara mbili wameonyesha kuwa chama tawala kinaweza kutolewa madarakani kwa sanduku la kura. Hotuba ya juzi juzi ya Banda ilinifanya niamini kuwa bado kuna wanasiasa wanaosimamia dhamira safi na wasiotaka dhamira zao ziwashtaki. Serikali yetu na viongozi wake dhamira zao zimekufa. Wako tayari kuutetea uongo hata kama wanajua hata mtoto mdogo anajua kuwa huo ni uongo.
  Kinachoweza kufanyika ni nguvu ya watu ... Sioni namna CCM itakavyokubali kutolewa kwa sanduku la kura. Hapa naomba niwe Tomaso. Let Igunga prove me wrong!

  I am still a gud student of Nyerere philosophy that ili tuendelee tunahitaji vitu vinne: watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. I call them the four pearls of development. During Nyerere's time we had all four (not 100% of each but we had them). In Ruksa's time we lost uongozi bora, in Ukapa's time, we lost ardhi through uwekezaji holela and in now in JKs (or as someone nicknamed Kigeugeu), we have lost siasa safi.

  I urge my fellow citizens: Chonde chonde jamani tumebaki sisi (watu) tu. Lets stand on our feet and regain the three lost pearls before it is our turn (if not us our children) to be lost.
  [/QUOTE]
   
Loading...