kipanga mlakuku
Member
- Jun 9, 2011
- 92
- 53
Kwako comrade Mwanakijiji, Najua wewe ni mkereketwa wa mageuzi huko nyumbani Tanzania, sasa tupa jicho lake huko Zambia tayari wakiritimba wamesombwa na mawimbi, geukia Egypty , Libya na Tunisia tayari madikteta wamefyekwa, just unganisha doti utafahamu ukweli kuhusu anguko kuu la CCM , nasema unganisha doti anguko laja kama si leo ni lini basi?