Kushika madaraka ni muhimu ila ni means to an end. Mi nadhani nadharia nzima ya kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka ni upotoshaji. Chama kikishashika madaraka nini kinafuatia? Kutekeleza sera zake. kumbe hili ndilo lengo kuu. Kwa namna hiyo, hata kisiposhika madaraka na kikawa na nguvu na sauti ya kutosha kinaweza fanya sera zake kutekelezwa.
Kushika madaraka ni muhimu sana kwasababu ndiyo njia rahisi zaidi kwa chama kutekeleza lengi lake kuu.