mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,271
- 4,656
Member wengi wametupia vitabu hapa JF vitabu vya inspirational na vya maisha ya jamii kwa ujumla. Kwa vitabu vya soft copy hasa ambavyo ni new edition kwa wanafunzi kuanzia hasa vyuo na vyuo vikuu viwekwe hapa. Mimi nitadeal na vya Linguistic na pia kwa uchache vya Kiswahili. Japo vya Kiswahili si vingi kiviile. Una softcopy yoyote ya vitabu vya masomo vyuoni tupia hapa sasa kwa haraka iwezekanavyo ili kukuza maarifa huko vyuoni.View attachment Syntax_ A Generative Introduction ( PDFDrive.com ).pdf