Tutoe taarifa za madereva wasio makini hapa

A2G

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
283
829
Habari wakuu

Sina hakika Kama kuna uzi wa namna hii humu

Nipo safarini natoka dar naenda Morogoro lakini sijapendezwa Na uendeshaji wa Huyu dereva wa basi la Alsaedy. Hivyo naomba namba za polisi wa usalama wa barabarani.

Pia tutumie uzi huu kutoa taarifa za namna hii maana humu naamini wadau wa usalama wanapita wawe wanaona
 
Back
Top Bottom