Tutoane ushamba wadau kuhusu pikipiki zinazobeba kama chai Maharage

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,107
173,835
Jana wakati niko kwenye basi natoka mkoa kuanzia Mitaa ya Mbezi mpaka Kimara kuna aina flani ya bajaji nimeziona za njano hivi... sijui niziite bajaji za kichina au piki piki ila zinabeba abiria kwa mtindo wa chai maharage. Yani watu wa 4 ila wanakaa kwa kutazamana wawili kila upande!

Mwenye ufahamu anijuze kuhusu hivyo vibajaji/ pikipiki binafsi nimeona kama naweza kuvigeuza fursa ikiwa viko affordable!
 
Back
Top Bottom