SHADOWANGEL
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 528
- 349
Waswaili wanasema asiyeona nafsi yake Haoni akionyeshwa... Kila anayezungumza anazungumza raisi vile Raisi ivi...Flani kafanya vile kafanya vile inakuwa ngumu kujua awa watu wanamaanisha nini au ndo tushike yale maneno ya mwalimu kuwa liishalo ni Dogo kuliko linalokuja....Akuna jinsi maisha lazima yaendelee..
Waambie si kila anayeongea anaongea kwa ajiri ya wananchi wengine wamemezeshwa maneno kuzungumza mradi tu waonekane wanazungumza..
Najua bado atuko pamoja, Ni ivi leo tunazungumza siasa na kulaumiana wenyewe kwa wenyewe kuwa flani ayuko sahihi na flani azibitiwe mpaka tunasahau kuwa tumeashwa nyuma kimaendeleo, tunabaki kila kona nchi kufanya siasa na wanaasahau kuwa wanaanchi Tunaitaji maendeleo..
Jamani tunashidwa kufanya public company tukaanza kuchimba madini yetu.. sehemu watu wa migodi wanashindwa kuchanga elfu kumi kumi na kuanzisha public company kuchimba madini yetu.. mbona mambo kama aya tunasahau... Atuna jinsi mmesahau kuwa wazee walisema ukitaka kufuga ngombe lazima uanze na kuku...
Take it or Leave it...
Neno ningejua uja baada ya safari.. Siasa itabaki siasa na maendeleo yatabaki maendeleo... Magazeti yetu yako kutupa siasa kuliko watu wanaofanya mazuri ndani ya nchi kufanya wengine waangalie maendeleo...
Isije kuwa wanaanchi tunayumbishwa Akili na hao wanaozungumza kila siku ili utimie ule msemo kuwa LIISHALO NI DOGO KULIKO LINALOKUJA........
Mambo ya Kukumbuka...
Babu wa loliondo mnajua alitokea wapi na wakati gani na unajua nini kilifuata baada yake......Atuna jinsi kwa kuwa tuko afrika na maisha yetu lazima watufanyie kama wao wanavyotaka......
SWALI LITABAKI TUTEGEMEE SIASA AU MAENDELEO.....KWA MTOTO WAKO, NDUGU YAKO, WANAOTUONGOZA NA .................................................................