Jamani waungwana hivi huu ujio wa Rais Obama unaipeleka wapi nchi yetu? Sasa hivi kila kona ya jiji ukijichanganya tu imekula kwako. Askari kila mahali utafikiri nchi iko kwenye STATE OF EMERGENCY????:heh:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.