Ngoja niwaambie kitu,,unawaona hao ndo wanaohangaika wanapostaafu kwa sababu
1;wanaishi bure, hawajui kodi ya nyumba wakiwa wanafanyakazi,
2;vitu vya msingi huwa wanavipata kwa bei ya chini ktk maduka yao
hiyo ndio siri kubwa ya kushindwa. Hata na wewe mtoa mada ambaye sa hv unatembelea gari la kampuni haujui bei ya mafuta,full time ni full tank,ngoja ustaafu kama utakuwa unaweka full tank