Twalb zubeir
Senior Member
- Feb 23, 2015
- 143
- 51
Hivi huyu mkapa anajivunia nini kuamua kututukana wapiga kura niseme tu tumesikitishwa na kauli za bwana mkapa maana hatutakuheshimu tena .
Hivi huyu mkapa anajivunia nini kuamua kututukana wapiga kura niseme tu tumesikitishwa na kauli za bwana mkapa maana hatutakuheshimu tena .
Eti sisi ni wapumbavu?
Acha nimjibu mapema
1.mpumbavu ni ww uliyeuza bank. Ya nbc
kwa bei ya kutupwa
2.mpumbavu ni ww uliyeuwa reli ya kati
na reli ya dareesalam
3.mpumbavu ni ww uliyeuza nyumba za
posta ukawekeza ww kwenye hoteli yako
ya lamada
4. Mpumbavu ni ww uliyemuambia mahita
akawawauwe wazanzibar mwaka 2001
5.mpumbavu ni ww uliuwa viwanda vya
nchi hii leo magufuli analalamika mbele
yako
6. Mpumbavu ni ww uliyestaafu miaka
kumi iliyopita leo unakuja kuwatukana
watanzania
7. Mpumbavu ni ww uliyemchagua
sumaye miaka 10 kuwa waziri mkuu wako
wakati unajua hukubaliani naye
hapa tutakujibu upendavo
Neno Mpumbavu sio tusi, neno hili limetumika mara kadhaa kwenye kitabu cha dini Biblia. Neno hili linamaana ya mtu aliyepumbazwa au mtu aliye pumbazika.
Tukirudi kwenye kauli ya Mkapa aliyoitoa leo kwa viongozi wa UKAWA alisema ni Wapumbavu sababu eti wanawadanganya Watanzania kuwa wanakuja kuwakomboa wakati CCM ilishawakomboa Watanzania siku nyingi. Ni kweli kabisa viongozi wa UKAWA wamepumbazika na siasa uchwara ndio maana Mkapa akawaita ni Wapumbavu.
Kwa watu wasiojua kiswahili vizuri watakimbilia kusema Mkapa ametukana. La hasha, neno Mpumbavu sio tusi hata kidogo. Ndio maana alirudia kusema mara mbili, ni "Wapumbavu"
Hata mimi pia namuunga mkono Mkapa kwa kusema kuwa hawa viongozi wa UKAWA ni Wapumbavu sana. Huwezi kutuletea mwizi na fisadi kisha mnatuambia eti mwizi huyo amekuja kutukomboa, Pumbavu kabisa, bora tubakie na CCM yetu tuliyoizoea kuliko hao majizi yenu akina Lowassa. PUMBAVU SANA..
mkapa naskikia eti ni mwanaume picha