Hizo ni porojo ,hakuna anaeweza kumtikisa Rais Samia au mtu yeyote akiwa Rais Tanzania hii."Kwakuwa ni mwanamke,Ni Muislamu na anatoka Zanzibar itakuwa rahisi kukabiliana naye."
Hayo siyo maneno yangu bali ni kauli ya kimya ya wasaka urais.
Inaonekana taasisi ya Urais ni tamu sana kwani wasaka urais huwa ni waru wa kuchanganyikiwa kwelikweli kwani wako tayari kufanya lolote ilimradi lengo lao litimie.
Sijajua ni kwanini wasaka urais kwasasa wako free kufanya chochote watakalo.hatahivyo nimeendelea kupata ushahidi kuwa we have very weak institutions.
Baadhi ya wasaka urais ndani ya CCM si watu wa kawaida.unaweza dhani wana mahusiano na Wanefili wanaotajwa katika Biblia takatifu Mwanzo 6:4(Aliens)
Wamekamata vyombo vya habari,wanaweza kucreate crisis yoyote kwenye nchi kama vile Mfumuko wa Bei,kupotea kwa dola,umeme kukatika hovyohovyo tu,tatizo la mafuta na hata maji na wananchi wakatulia kabisa.si unajua watanzania mjadala wao pekee ni mechi za Simba na Yanga?period
Wasaka urais wanaweza kumuua kiongozi yeyote ilimradi wao wakae kwenye nafasi yake na wakati fulani kufupisha mkakati wa kusaka urais. wameshajifunza kuwa kupata urais siyo lazima uchaguzi.
Hata Mhe Rais amewateua wasaka urais kadhaa na cha ajabu ni kuwa huwa hawamsemei bali wanajisemea wao wenyewe tofauti na wakati wa utawala wa JPM ambapo viongozi wote ndani ya chama na serikali walikuwa wakimsifia mara kwa mara.
Wasaka urais walipumua baada ya kuondoka JPM na katika uchaguzi wa ndani wa CCM mwaka jana 2022 walifanikiwa kuwapachika vibaraka wao katika nafasi nyeti za uongozi ndani ya CCM hivyo wajumbe wengi wa mkutano mkuu maalumu 2025 ni wafuasi wa wasaka urais.
Kwasasa wana utawala binafsi na ukiwauliza mbona mwafanya yote haya?wanakupa hilo jibu hapo juu.
Kitu kingine walichofanikiwa ni kumfanya Rais awe na ziara za kimataifa almost every week.no this is cumbersome.
Cha kusikitisha ni kuwa hata nafasi za wenezi ngazi ya mkoa wamepachika vibaraka wao,Kama Mhe Rais angelisimamia zoezi hili ipasavyo angepata mtandao mkubwa ambao ungemsaidia hata kwa kumpa taarifa za mara kwa mara hata zile nyepesinyepesi lakini Mama na inner circle yake hawajui walitendalo
Eh Mwenyezi Mungu tuepushe na kikombe hiki
Wanajifariji tuu hakuna kenge yeyote wa kumsumbua Samia ,kama mlishindwa mwaka wa kwanza saizi Kesha consolidate power kitambo mumechelewa sana.Madam president yupo very stable mkuu na anaheshimika sana unafikiri kwanini anasafiri na kurudi nyumbani mda wowote?
Kagame kuja Tanzania tuu halali.
Rais Samia labda yeye mwenyewe aamue kuwa sigombei tena uraisi 2025 na atuchagulie mtu mwingine yeyote amuachie kiti. Ila vijana wanatamaa sana rais Samia lazima anawajua na pia anasubiri right time kuwa drop hawa ma snichi wenye tamaa.
Watu wengi ccm na serikalini wenye tamaa wata enguliwa mmoja baada ya mwingine 2024. Amini mama yupo kazini Mkuu
Nafasi ya Urasi Haijaribiwi!"Kwakuwa ni mwanamke,Ni Muislamu na anatoka Zanzibar itakuwa rahisi kukabiliana naye."
Hayo siyo maneno yangu bali ni kauli ya kimya ya wasaka urais.
Inaonekana taasisi ya Urais ni tamu sana kwani wasaka urais huwa ni waru wa kuchanganyikiwa kwelikweli kwani wako tayari kufanya lolote ilimradi lengo lao litimie.
Sijajua ni kwanini wasaka urais kwasasa wako free kufanya chochote watakalo.hatahivyo nimeendelea kupata ushahidi kuwa we have very weak institutions.
Baadhi ya wasaka urais ndani ya CCM si watu wa kawaida.unaweza dhani wana mahusiano na Wanefili wanaotajwa katika Biblia takatifu Mwanzo 6:4(Aliens)
Wamekamata vyombo vya habari,wanaweza kucreate crisis yoyote kwenye nchi kama vile Mfumuko wa Bei,kupotea kwa dola,umeme kukatika hovyohovyo tu,tatizo la mafuta na hata maji na wananchi wakatulia kabisa.si unajua watanzania mjadala wao pekee ni mechi za Simba na Yanga?period
Wasaka urais wanaweza kumuua kiongozi yeyote ilimradi wao wakae kwenye nafasi yake na wakati fulani kufupisha mkakati wa kusaka urais. wameshajifunza kuwa kupata urais siyo lazima uchaguzi.
Hata Mhe Rais amewateua wasaka urais kadhaa na cha ajabu ni kuwa huwa hawamsemei bali wanajisemea wao wenyewe tofauti na wakati wa utawala wa JPM ambapo viongozi wote ndani ya chama na serikali walikuwa wakimsifia mara kwa mara.
Wasaka urais walipumua baada ya kuondoka JPM na katika uchaguzi wa ndani wa CCM mwaka jana 2022 walifanikiwa kuwapachika vibaraka wao katika nafasi nyeti za uongozi ndani ya CCM hivyo wajumbe wengi wa mkutano mkuu maalumu 2025 ni wafuasi wa wasaka urais.
Kwasasa wana utawala binafsi na ukiwauliza mbona mwafanya yote haya?wanakupa hilo jibu hapo juu.
Kitu kingine walichofanikiwa ni kumfanya Rais awe na ziara za kimataifa almost every week.no this is cumbersome.
Cha kusikitisha ni kuwa hata nafasi za wenezi ngazi ya mkoa wamepachika vibaraka wao,Kama Mhe Rais angelisimamia zoezi hili ipasavyo angepata mtandao mkubwa ambao ungemsaidia hata kwa kumpa taarifa za mara kwa mara hata zile nyepesinyepesi lakini Mama na inner circle yake hawajui walitendalo
Eh Mwenyezi Mungu tuepushe na kikombe hiki
Unasema nini??Sidhani kama ni rahisi sana kumuangusha mkuu wa nchi ktk hizi nchi zetu za dunia ya tatu, maana kila mtu saizi anaogopa asije akajulikana na kukosa vyote, kwasababu kwa nchi kama Tz kupigwa blacklist ni dakika sifuri tu
"Kwakuwa ni mwanamke,Ni Muislamu na anatoka Zanzibar itakuwa rahisi kukabiliana naye."
Hayo siyo maneno yangu bali ni kauli ya kimya ya wasaka urais.
Inaonekana taasisi ya Urais ni tamu sana kwani wasaka urais huwa ni waru wa kuchanganyikiwa kwelikweli kwani wako tayari kufanya lolote ilimradi lengo lao litimie.
Sijajua ni kwanini wasaka urais kwasasa wako free kufanya chochote watakalo.hatahivyo nimeendelea kupata ushahidi kuwa we have very weak institutions.
Baadhi ya wasaka urais ndani ya CCM si watu wa kawaida.unaweza dhani wana mahusiano na Wanefili wanaotajwa katika Biblia takatifu Mwanzo 6:4(Aliens)
Wamekamata vyombo vya habari,wanaweza kucreate crisis yoyote kwenye nchi kama vile Mfumuko wa Bei,kupotea kwa dola,umeme kukatika hovyohovyo tu,tatizo la mafuta na hata maji na wananchi wakatulia kabisa.si unajua watanzania mjadala wao pekee ni mechi za Simba na Yanga?period
Wasaka urais wanaweza kumuua kiongozi yeyote ilimradi wao wakae kwenye nafasi yake na wakati fulani kufupisha mkakati wa kusaka urais. wameshajifunza kuwa kupata urais siyo lazima uchaguzi.
Hata Mhe Rais amewateua wasaka urais kadhaa na cha ajabu ni kuwa huwa hawamsemei bali wanajisemea wao wenyewe tofauti na wakati wa utawala wa JPM ambapo viongozi wote ndani ya chama na serikali walikuwa wakimsifia mara kwa mara.
Wasaka urais walipumua baada ya kuondoka JPM na katika uchaguzi wa ndani wa CCM mwaka jana 2022 walifanikiwa kuwapachika vibaraka wao katika nafasi nyeti za uongozi ndani ya CCM hivyo wajumbe wengi wa mkutano mkuu maalumu 2025 ni wafuasi wa wasaka urais.
Kwasasa wana utawala binafsi na ukiwauliza mbona mwafanya yote haya?wanakupa hilo jibu hapo juu.
Kitu kingine walichofanikiwa ni kumfanya Rais awe na ziara za kimataifa almost every week.no this is cumbersome.
Cha kusikitisha ni kuwa hata nafasi za wenezi ngazi ya mkoa wamepachika vibaraka wao,Kama Mhe Rais angelisimamia zoezi hili ipasavyo angepata mtandao mkubwa ambao ungemsaidia hata kwa kumpa taarifa za mara kwa mara hata zile nyepesinyepesi lakini Mama na inner circle yake hawajui walitendalo
Eh Mwenyezi Mungu tuepushe na kikombe hiki
Huna lolote huu upupu ni mawazo yako hayana uhalisia wowote. Acheni kubwabwaja na vitu viko juu ya uwezo wenu. CCM ina utamaduni wake na inauheshimu siku zote"Kwakuwa ni mwanamke,Ni Muislamu na anatoka Zanzibar itakuwa rahisi kukabiliana naye."