Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

:target::majani7: TUTARAJIE VIDUKU TU KAMA HIVI:target: MAANA VIJANA WAMEJIKITA SAANA KWENYE VIGODORO NA USHAROWARO TU:majani7: FULL UTUMBO TU:majani7:
 
Matokeo ya kidato cha nne 2012 yanatoka lini??
Wadau mi sielewi apa, kwanini hawatoagi tarehe maalumu,. Wanaficha ficha ili iweje? Matokeo ni lini..?
 
nenda baraza la mitihani ukaulize au kama vipi jiunge na course za muda mfupi ili zikukip busy kipindi unasubiri matokeo
 
Vijijini kuna kazi nyingi zinzoenda na sufuri then wasije mjini kusababisha wimbi la vibaka na ombamba
 
Tetesi zilizopo ni kwamba matokeo ya kidato cha nne yanaweza kutoka ijumaa ya wiki hii yaani tr 8 ili kutoa nafasi kwa wale ambao matokeo hayatakuwa mazuri kuweza kujisajiri kama private candidate coz mwisho wa usajili bila penariti ni tr 28 mwezi huu wa februari.
 
Subirini yatoke kwanza maana hakuna mtu anaejua hizi tetesi nazo kha!
 
Nani kawqambia mpost huu upuuzi.. Kila mtu anatetesi ya muda wake sasa itakuwaje kama kila mtu akija hapa na kupost tetesi yake??
 
Hanaga mwisho labda uchoke ww na kuamua kustop ila kama unauwezo wa kuendea unaendelea tu mpaka utakapo ona unacho kitafuta umekipata.
 
Ha ha!guys naona tokeo limekua mad kubwa kwa wahtmu wa form four.tatzo la serkal ye2 haina utartbu maalmu juu ya utkelezj wa majkumu hko serkaln.ndo maan mpka xaxa ha2jui knachendlea .wanawapa 2 stress vjan .ungkut 2najua trhe maalm vjn wasingpoteza md kufuatlia hii ish mtzm wangu nd huo.2lilie serkal ibdilshe utrtbu
 

Hapo tutadanganyana bure tu, suala la msing n kuwasubir watu wa idala husika walopoke kwan wao ndio wanaojua ukwel ulivyo, na c suala la kubashiri.
 
Hapo tutadanganyana tu ndugu zangu, suala la msing n kusubir idala husika walopoke..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…