Tutarajie mashambulizi mapya ya Wargner

Tutarajie mashambulizi mapya ya Wargner

Muda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na putin

Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za kivita na mpk ss urusi imeshinda watalam wakivita wanahamini ukiishambulia Ukraine kutokea Belarus ni ni rahisi kufika Kiev. Prigoznh anaenda Belarus kama ameisaliti kremlin hii ni danganya toto. Ukraine itakumbwa na mashambulizi mapya makubwa.

Vikosi vya chechen vipo njiani kuelekea bakhumut kuchukua nafasi ya wargner. Apo awali watu tulihamini vikosi hivyo vinaenda kupambana na wargner offensive inakaliwa na mapigo makubwa ya kimkakati
Warusi wa mbagala hata kuandika ni tabu
 
Muda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na Putin.

Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za kivita na mpk sasa Urusi imeshinda watalam wakivita wanahamini ukiishambulia Ukraine kutokea Belarus ni ni rahisi kufika Kiev. Prigoznh anaenda Belarus kama ameisaliti kremlin hii ni danganya toto. Ukraine itakumbwa na mashambulizi mapya makubwa.

Vikosi vya chechen vipo njiani kuelekea bakhumut kuchukua nafasi ya wargner. Apo awali watu tulihamini vikosi hivyo vinaenda kupambana na wargner offensive inakaliwa na mapigo makubwa ya kimkakati
Kwani wegner ilikuwa hawezi kuhamia belarus pasipo kwanza kuandamana kwenda moscow?
 
Muda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na putin

Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za kivita na mpk ss urusi imeshinda watalam wakivita wanahamini ukiishambulia Ukraine kutokea Belarus ni ni rahisi kufika Kiev. Prigoznh anaenda Belarus kama ameisaliti kremlin hii ni danganya toto. Ukraine itakumbwa na mashambulizi mapya makubwa.

Vikosi vya chechen vipo njiani kuelekea bakhumut kuchukua nafasi ya wargner. Apo awali watu tulihamini vikosi hivyo vinaenda kupambana na wargner offensive inakaliwa na mapigo makubwa ya kimkakati
I support
 
Back
Top Bottom