sijaona cha kuwazuieni kupona hapo, mbona paja la kawaida tu hilo? tena kuana wengine hawataki kama hayo, sasa hofu inatoka wapi? ukishindwa kujizuia oa ili upone
sijaona cha kuwazuieni kupona hapo, mbona paja la kawaida tu hilo? tena kuana wengine hawataki kama hayo, sasa hofu inatoka wapi? ukishindwa kujizuia oa ili upone
si nyie ndo mnaoyaanzisa? jizuieni basi halafu muone jinsi dunia itakavyojaa amani na upendo. tena ndoa zitakuwa mahali pa kukimbilia kama Mungu alivyotaka na sio kukimbiwa
kama nilivyojibu hapo juu, asilimia kubwa hayo mambo huanzishwa na wanaume na wamefikia hatua ya kudanganya hata watoto na kuwarubuni kwa vijisenti vyao. nyie mna vijisenti, sie tuna Mungu. Mungu atatuponya tu ili nanyi mponywe kupitia kwetu na hatimaye dunia nzima iponywe. amen