Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,037
what if mjamzito ndo mke huyo huyo wa mwita?1.idadi ya watu ni 9 katika kaya hii
2.wanafamilia ambao hawakutumia chandarua ni 7
Workings
1 mzee mwita mwenyewe
2 watoto wenye umri chini ya miaka 5
4 watoto wenye umri wa miaka 5
1 mjamzito
1 mke
thus:-(1+2+4+1+1)=9
swali linasema mjamzito mmoja na mke mmoja.....we sema kitu kingine lakin hesabu tuu hapa ndo mwisho wakewhat if mjamzito ndo mke huyo huyo wa mwita?
And what if mjamzito ni mmojawapo wa hao watoto wenye umri zaidi ya miaka mitano?what if mjamzito ndo mke huyo huyo wa mwita?
kokotoa upate jibuAnd what if mjamzito ni mmojawapo wa hao watoto wenye umri zaidi ya miaka mitano?
what if mjamzito nimmoja wenye zaidi ya 5yrs?swali linasema mjamzito mmoja na mke mmoja.....we sema kitu kingine lakin hesabu tuu hapa ndo mwisho wake
what if mjamzito nimmoja wenye zaidi ya 5yrs?
Si amesema watoto au vipi hapwhat if mjamzito nimmoja wenye zaidi ya 5yrs?
hahahahaa dah we jamaa noma sana.Mimi sipendi kuingilia maisha ya watu wengine
mkuu jina 'mtoto' kwa mzazi halina kikomoSi amesema watoto au vipi hap
watoto 4 wenye zaidi ya 5yrs hujawaongeleaJibu ni
a) 8 yaani mama mjamzito=mke,watoto wa2 chini ya miaka mitano = mtoto mmoja mdogo + mwingine aliyepo tumboni kwa mama yake+ mzee mwita.
b) jibu ni 5. Waliolala ni mama mwenye ujauzito n katoto kake tumboni na mtoto mwingine chini ya 5yrs na wasiolala ni watano.Watoto wanne wakubwa na Baba yao mzee Mwita.
umejuaje kama tumboni kuna katoto kamoja?Jibu ni