Tutani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Joofree, Jul 24, 2012.

 1. J

  Joofree Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naombeni msaada wenu, nimefungua Blog yangu inayohusu maswala ya elimu na biashara. Swali langu ni jinsi ya kitufe cha komenti wakati mtumiaji anatumia simu, nimejaribu nikakuta inanionyesha pale kwenye kuchagua kati ya anony au zile option nyingine zinajificha na huwezi publish email bila ya hicho kitufe. Naombeni msaada. Pia nataka kuweka blog ninazozipenda ziwe zinaonekana front page sasa sioni au sijui lugha embu mwenye uelewa anijuze.

  Nawapongeza JF maana mimi sikuwahi kuwa memba wala kuijua ila jana kuna rafiki yangu wakati namwelekeza hili tatizo akanielekeza hapa, hivyo sina budi kuwapongeza maana mmekuwa mkitambulika na kuthaminiwa
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,809
  Likes Received: 7,133
  Trophy Points: 280
  nafkiri ni aina ya themes ndio inaweza kuamua hivo.
  Labda ungenambia blog umefungulia wapi na unatumia themes ipi.

  ukienda setting ya themes kwenye wordpress yote hayo unayapata kama widgets.

  Themes nyengine hazina options za mobile
   
 3. J

  Joofree Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nafikiri ndivyo maana kabla ilikuwa nayo sasa katika kuedit bila kujua nafanya nini zaidi ya kutafuta muonekano mzuri wa macho yangu. Ngoja nilifanyie kazi kidogo, nakuhusu nimefungulia wapi ni hapa Tanzania na ni joofree@blogspot.com
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,809
  Likes Received: 7,133
  Trophy Points: 280
  anha umefungulia blogspot na themes yako inaitwa picture window templates.

  Sasa dada skia nenda katika panel yako ambako una editia blog yako then tafuta kama kuna jina la theme limeandikwa au nenda appearence ili ku adjust setting za themes.

  1. Post unazozipenda kwa jina lengine tunaita sticky-pages namna ya kuziweka sio ngumu zipo tutorial za kutosha click link hizi apa chini

  - How to Create a Sticky Post on Blogger | eHow.com

  - Real Sticky posts for Blogger | Yet Another Blogger Tips Blog

  2. Suala la mobile kushindwa kukoment kama sjaelewa vizuri ila nafkiri litahusiana na settings za theme upande wa mobile em give it a try
   
 5. J

  Joofree Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Asante sana kakangu kwa msaada naomba usichoke kunijibu maana umenifungua zaidi ngoja nianze process hizi. Be blessed
   
Loading...