tutamsaidiaje kijana huyu??

MESSI

Member
Apr 3, 2011
38
2
habari wanaJF!
Napenda kuwasilisha hili:
mimi nina rafiki yangu ni graduate mwk huu.tatizo lake ni kwamba anapenda sana ng**o amekuwa akibadilisha wanawake kama nguo n wakati huohuo anachukua na machangudoa usiku hasa pindi bado yuko chuo,,tena kibaya zaidi amekuwa akifanya ng**o zembe tumejaribu sana kumshauri ss tumeamua kumwacha kama alivyo,ukimwi hataki kupima..ss ningependa kuuliza hivi hii hali inatokana na nn hasa?tamaa au ndo pepo wa ngono??.unawezaje kumsaidia mtu kama huyu??.maana anakoelekea kaburi linamuita.
 
Mtafutieni mke aoe na awe karibu na Mungu maana inaonekana Shetani amemtawala sana.
 
Ufanyaji wa ngono tena wa ovyo ni wa watu waliokata tamaa! May be amepita mahala akahisi ameukwaa au ni broken heart na anafanya km either kulipiza kisasi au kupunguza machungu. Since ur the close friend anza kujua why anafanya hvo? For leisure? Revenge? Or he have no hope? Ukishajua ndipo unaweza kumsaidia mawazo na pia kumshawishi kupima kwani ushauri bila kujua orign of the behvr ni useles na haitakuwa na faida. So ask him why...then mengne yatakuja automaticaly!
 
Kama ni mtu wako wakaribu sana na unayo sema yanatoka moyoni mwako,basi tafuta sehemu muende mkaongee na atakueleza ukweli ulokua ndani ya moyo wake na lakini uwe tayari kumsaidia kwa hali na mali sio akwambie uyaone mazito umkimbie utamumiza sana moyo wake,
 
ahsante kwa mchango wako mzr mkuu..
 
nitafata ushauri wako mkuu..
 
Huyo jamaa yako ana hatari aisee...
Hapo jambo la kumshauri ni kuwa jirani na viongozi wake wa kiroho anaweza kupona kutoka kwa hilo pepo la ngono linalomtawala.
 
Njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewe. Huu ndio ushauri wangu kwako, usiteseke buree! Ukiombewa tatizo lako ni dogo hiloo, njoo ufanyiwe maombi. B- mwaitege.
 
Inawezekana ameshapima na akajiona tayari..............ndo ameamua asife peke yake. Mpeleke kwenye maombi mkuu.
 
Njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewe. Huu ndio ushauri wangu kwako, usiteseke buree! Ukiombewa tatizo lako ni dogo hiloo, njoo ufanyiwe maombi. B- mwaitege.

Huu unafaa kwa sasa..akikataa wewe endelea kukremu huo wangu hapo juu!
 
Hayo ni mapepo akaombewe na kama umri na nafasi inaruhusu ni vyema aowe.
 
Vituo vya polisi,magereza na hospitali kunamgao wa umeme!Jamani ni kweli hata jenereta imeshindikana? mbona ni hatari hii?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…