Tutamsaidiaje huyu binti? Nimehuzunika sana leo

Tunaomba utusaidie haya tupate pa kuanzia kumsaidia
1 Ni Bar gani hapo tabata
2, Nni anaimiliki au msimamizi
3 Huyo mpigaji ni nani
4. Jina la Binti na namba za simu
MUHIMU; Jitahidi kutusaidia haya kwa kuulizia tu hata kwa walevi wenzako ukienda. ASANTE
Hii thread ni ya 2019, je; hii Bar itakuwa bado inandelea na biashara yake hapo? Na huyo Binti bado atakuwepo pale?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom