Pole sana my daughter charminglady, may his soul rest in eternal peace, one thing remain he was loved
charminglady maisha ni zawadi atupayo mola kwa mapenzi yake ila kuyachukua pia hatuna access ya kumuhoji.
My daddy also passed away December 10, 1998.
Pole sana best ila mapenzi ya Mungu yatimizwe daima.
Pole sana my dear.
Nshaona fursa hii, mama anaendeleaje? Baba yangu ni mgane, hebu tuunganishe familia aisee.
Pole dada charminglady,Mungu azidi kukuongoza.