Fue Fue
Senior Member
- Jan 6, 2013
- 107
- 128
Nafurahia sana watu wenye moyo wa kutoa Mungu awajaze.
Nauliza kodi zetu nani anakula mbona kila kitu Tanzania ni misaada???
Kama serikali haitumii kodi zetu sawa sawa, kama kodi zetu ndizo chanzo cha mitaji yao na familia zao. Kama kodi zetu ndizo zinazotumika kutupiga bakora kwanini tuendelee kulipa??
Jiji la Dar es salaam halikuwa na mafuriko la hasha, hakuna mitaro ya maji chafu maji taka, ujenzi holela, mipango miji ipo kuzimu.
Tunalipa kodi za aina zote, vat, ushuru na fororadha, ajira, mgambo wa city wana kusanya, leseni, michango etc fedha zetu zinakwenda wapi??
Kwanini wananchi wanakuwa waoga kuuliza? Kwanini tufe kila mvua ikinyesha wakati uwezo wa kuishi salama tunao???
Jangwani hakuna mafuriko ni uzembe wetu tu?
Inasikitisha sana kila kipindi cha mvua tunapoteza, maisha, mali, ujenzi wa taifa, kodi, utalii ETC. Fedha zinazopotea kila kipindi cha mvua ni nyingi sana kwa miaka mitano zina uwezo wa kutatua matatizo yote ya jiji maji taka.
Leo ukisoma huu ujumbe jiulize kwanini usubiri kufa kwa maji wakati uwezo wa kujiokoa kukiwa kavu unao: Hoji kwa nguvu kodi zako zinakwenda wapi?
Je unajua EPA, ESCROW, UDA, IPTL, Meremeta, Minara pacha, Vodacom saga, safari za mkulu, wingi wa watendaji-(mawaziri) etc ndio chanzo cha vifo na maumivu tunayopata kila siku?
Hizo fedha ziliweza kuifanya Tanzania bora, ELIMU, MIUNDO MBINU, Na Dar bila mafuriko kuwezekana. Uamuzi ni wako dai haki yako au subiria kifo.
Mimi yangu naidai kwa gharama kubwa kwani siko tayari kumwona mtu mwingine akifa kwa uzembe wa wachache.
Fue Fue - hard talk .
Like · Comment · Share