tutaishije!!!

Kupata mwanaume mwenye hata kucheat Ni ndoto!!! Labda unataka kumwacha kwa mambo mengine.
 
Pete ndio kitu gani,kwa hiyo katmbea na rafikiyo,unaogopa kuchukua maamuzi kisa pete na huo utabulisho feki,hakufai huyo,na pete usimrudishie,kauze shost!khaaaa!
 
Usimwite tena "mchumba wangu" mwite ata rafiki au mtu unaemfahamu
 
Yapasa kujishauli nasiyokushauliwa swalahili nizito tafakari chukuahatua epuka mtandaowangono
 
Kosa La Mwisho Ambalo Mim Siwez Kumsamehe Mpenzi Wangu Ni Usaliti.
 

hivi si ndo wewe ulianzisha thread ya 'wanaume stress tupu' na ulikua unatafuta mwanamke mwenzako msagane vipi tena leo unaolewa
 
hivi si ndo wewe ulianzisha thread ya 'wanaume stress tupu' na ulikua unatafuta mwanamke mwenzako msagane vipi tena leo unaolewa

Waongo wajinga ni wale wasio na kumbukumbu. Ndo kama hili jinga la leo.
 
Hivi kabisa unajua km katembea na rafk ako nawe bado umo tu!?,akikuoa c ndo atabanjuka mpaka na mahg!?cc marafk bhana!!
 
Hua mnavishana pete mbele ya kanisaa??maana sie wengine hatujawahi kwenda kanisani, una uhakika au umesimuliwaa tu,
Kua makini unawezs kumuacha huyo ukakosaa wa kukuoaa inawezekana rafiki yako kaona wivu aone akuvurugiee
We olewaa utoe nuksi ukiona kashindikanaaa jikataee kwan mmewekewa superglue
 
Da Preta bana... Short & clear!!!

Miss u jamani, habari za Yaeda chini????

Ni poa sana........kwa sasa nipo nyumbani Mongolia.......kuna baridi kifua kimenishika .......ndio nachemsha majani ya mparachichi ninywe.........
 
Last edited by a moderator:
Kutokea Unga ltd mpaka Sanawari kwa miguu.... hajatembea nae sana hakyamama. Amnunulie bodaboda tu, baaas.

Sasa hiyo ndio nini.......wengine wanatembea........wanachoka.......wanapanda magari.......wanashuka.......na bado safari inaendelea........ukitaka tofauti basi nenda Nagoya........
 
Maadam ameshakutoka moyoni mbona rahisi tu, na wewe mtie aibu kama aliyokutia wewe.

Subiri siku ya harusi umtose madhabahuni, hatokaa akusahau maishani mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…