Shukuru Mungu haujafunga naye ndoa,No one can live ur life for you!! U have to live it by urself.Tafakari chukua hatua.
Mm ninamchumba wangu katembea na rafiki yang nifanyeje? Moyoni kanitoka kabisa tatizo keshanitambulisha kwao na kunivisha pete ya uchumba mbele ya kanisa na mahari ni tarehe 27 nifanyeje binafsi kanitoka kabisaaa!!! Na cjui hiyo ndoa itakuaje nishaurini jmn
muache hakufai
Hilo ndo jibu rahisi
nilikumic
Mm ninamchumba wangu katembea na rafiki yang nifanyeje? Moyoni kanitoka kabisa tatizo keshanitambulisha kwao na kunivisha pete ya uchumba mbele ya kanisa na mahari ni tarehe 27 nifanyeje binafsi kanitoka kabisaaa!!! Na cjui hiyo ndoa itakuaje nishaurini jmn
Msamehe.....kwani alitembea nae sana
......?...
Ndio yule ambaye kipindi fulani uliwahi kusema alikuwa mshamba mshamba kwenye mapenzi?...
tupe hiyo thread mkuu tukumbushie maindi....tehe tehe watu mnatunza memory