Tutafika?

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Waungwana sijapenda uvaaji wa akina dada wenzangu hasa katika kumbi za starehe usiku.
hapa chini ni moja ya picha nimeibamba Jana sehemu sehemu

Wadau mnamaoni gani?

 
yaani wanatuaibisha na kutufedhesha sana
sijui kwanini serikali aingalii suala hili
akina wenzetu jamani jirekebisheni
 
yaani wanatuaibisha na kutufedhesha sana
sijui kwanini serikali aingalii suala hili
akina wenzetu jamani jirekebisheni

yaani Lady niece mimi huwa nakereka sana, hata kama biashara matangazo kwani hii biashara ni halali?
 
Last edited by a moderator:
Kama ni kwenye kumbi za starehe, tena usiku. ..mtu ukikereka una lako jambo. Mi ningekuwa concerned kama ingekuwa ni kanisani...
 
Afadhali hao wavaao kwenye kumbi za starehe tena usiku kuliko wale wavaao asubuhi halafu wanaenda kazini au kumangamanga tu mitaani
 
yani wanakera sana ndugu yangu hawa
hiyo biashara si halali kabisa kama ingekuwa halali siwangelipia
TIN, LESEN ya biashara na wangeiifanya mchana kweupe mbona wanajificha ficha

yaani Lady niece mimi huwa nakereka sana, hata kama biashara matangazo kwani hii biashara ni halali?
 
wewe nawe badala ya tufanye nini ili tuwasaidie ndugu zetu hawa wewe unawasapoti kabisa

kwani hata uko kwenye kumbi za starehe hakuna nguo za hishima za kuvaa na huku ukaburudika

Kama ni kwenye kumbi za starehe, tena usiku. ..mtu ukikereka una lako jambo. Mi ningekuwa concerned kama ingekuwa ni kanisani...
 
wewe nawe badala ya tufanye nini ili tuwasaidie ndugu zetu hawa wewe unawasapoti kabisa

kwani hata uko kwenye kumbi za starehe hakuna nguo za hishima za kuvaa na huku ukaburudika

Aisee mi sioni tatizo la hizo nguo...
 
Mbona ukienda beach ushangai unashangaa kumbi za starehe tena usiku?
 
hata hao wanaotoka hivyo wanatoka makwao wakiwa hivyo na watoto wanashangaa
iweje wewe mm nikija kwako nimevaa hvyo usifurahie eti kisa watoto
hawatakuwa free kuniona hivyo wakati wanashangaa kwenye ma-tv watu wakiwa hivyo
na isitoshe wengine wako walivyozaliwa unafikiri kizazi chetu tukipeleke wapi kama sio
tunakiangamiza na tena tunajiahibisha na kukumbatia maadili ya ulaya huku tunaangamia

ndo mana mm nilikuuliza hivyo cause tokana na mchango wako wa mwanzo ulioutoa
kuwa unafurahia sana mtu akiwa hivyo na unaona kawaida sana


Kwangu naweza nisifurahie coz najua pana watoto ambao hawatakuwa free kukuona umevaa hivo
 
wewe nawe badala ya tufanye nini ili tuwasaidie ndugu zetu hawa wewe unawasapoti kabisa

kwani hata uko kwenye kumbi za starehe hakuna nguo za hishima za kuvaa na huku ukaburudika

hahahahahah Lady niece unaniacha hoi disco mtu avae charanga kisa cha kuonekana wakuja
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…