G geophysics JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 904 Reaction score 167 Sep 23, 2011 #1 Huyu mwenzetu Aden Rage vipi na bastola hadharani Anamtishia nani....kama ni siraha kila mtu anayo...tena mapanga yanaua kuliko hiyo bastola yake. Igunga nako si mchezo sasa
Huyu mwenzetu Aden Rage vipi na bastola hadharani Anamtishia nani....kama ni siraha kila mtu anayo...tena mapanga yanaua kuliko hiyo bastola yake. Igunga nako si mchezo sasa