Tutafakari: Uwanja wa taifa ulijengwa kwa bilioni 60, Lakini TAZARA flyover imejengwa kwa bilioni 100

Nimewaza tu,
Lile daraja likijaa magari to the maximum,
v/s
Uwanja ukijaa mashabiki to the maximun,

Wapi kuzito?
Mkuu kwenye uwanja kuna nguzo kila sehemu. Uzito haubebwi sehemu moja ndugu. Hilo swali lako lingefaa kama tungekuwa tunapanda mtini.
 
Exchange Rate...

2006
$ 1 = Sh. 1,186

2018

$ 1 = Sh. 2,260

Simple Maths:

Uwanja: Sh. 60,000,000,000/ 1,186 = $ 50,590,219

Flyover: Sh. 100,000,000,000/ 2,260 = $ 44,247,787

Conclusion:

Uwanja: Ulijengwa kwa $ 50.6Mil na Flyover imejengwa kwa $ 44.2 Mil...!! Hivyo thamani ya shilingi kuporomoka ndio chanzo cha kuona flyover ni juu kwa sasa 2018 kuliko uwanja 2006. Ili hali sio hivyo, uwanja ni ghali zaidi ukilinganisha na Flyover za Tazara kwa exchange rate za 2006 vs 2018...

Chadema poleni sana..!!

Hii analysis ime-assume US Dollar haipungui thamani.

Kwa hesabu hii unataka kusema dollar moja 2006 ingenunua bidhaa kiasi kile kile 2018??? Hapa tulipaswa kujiuliza Tzs 60b ya 2006 ni Tsh ngapi 2018.
That is called "Time Value of Money"
 
Ujue upambe ndio unawatesa sana kila mradi wowote wa selikal lazma wanakula cha juu wengine hizi kaz za ujenzi ndio maisha yetu pale yale madaraja ni zege na nondo tu b.100 ni hela nyng sana wafanya kaz pale walikuwa wanalipwa kumi na tatu sema msingi wa nchi hii ni uongo so u cn't move any where.
 
Je, tukiangalia depreciation ya shillingi tangu mwaka 2006 uwanja ulipojengwa, kuna uwiano na uhalisia au tumepigwa?
View attachment 870241

Maana kwa kuangalia kwa haraka haraka zinatoka flyover kama 5 hivi kwenye huo uwanja
Pesa yeu imeshuka sana thamani nadhani wakati huo uwanja unajengwa 1$ ilikuwa haizidi 1600, lakini leo 1$ ni over 2200
 
Gharama za daraja LA mkapa.kigamboni.uwanja WA taifa.flyover ya TAZARA. kwa akili Ya haraka tu.gharama inategemea na aina ya structure na inajengwa wapi na kipindi cha inflation ipoje
 
Kuna factors ku
Kuna factors kuu mbili.

1. Thamani ya hela. Enzi hizo dollar moja ilikuwa sawa na shl 1100. Saivi ni shl 2300. Tofauti ya 12000. Kwa hiyo ukiwa na Billion 60 maana yake thani yake kwa sasa ni Billion 120 na ushee.
2. Vifaa ninvyotumika kwenye uwanja ni vyepesi ukilinganisha na flyover . Magari yamahitaji vyuma vizito.

Nyongez tu ni kwamba hata ujira pia zamani ulikiwa mdogo ukilinganisha na sasa.
moment of silence to this genius alie amua kwenda kutafuta data na sio kupiga porojo.....
 
Exchange Rate...

2006
$ 1 = Sh. 1,186

2018

$ 1 = Sh. 2,260

Simple Maths:

Uwanja: Sh. 60,000,000,000/ 1,186 = $ 50,590,219

Flyover: Sh. 100,000,000,000/ 2,260 = $ 44,247,787

Conclusion:

Uwanja: Ulijengwa kwa $ 50.6Mil na Flyover imejengwa kwa $ 44.2 Mil...!! Hivyo thamani ya shilingi kuporomoka ndio chanzo cha kuona flyover ni juu kwa sasa 2018 kuliko uwanja 2006. Ili hali sio hivyo, uwanja ni ghali zaidi ukilinganisha na Flyover za Tazara kwa exchange rate za 2006 vs 2018...

Chadema poleni sana..!!

Sio Flyover jmn mbn mnawadanganya watz tembeeni duniani muone Flyovers ni kitu gani
 
kwani hujui kama simenti imepanda bei na matofali pia inaweza ikawa kweli masementi kama yote pale kwa fryover tofauti na uwanja wa taifa
Je, tukiangalia depreciation ya shillingi tangu mwaka 2006 uwanja ulipojengwa, kuna uwiano na uhalisia au tumepigwa?
View attachment 870241

Maana kwa kuangalia kwa haraka haraka zinatoka flyover kama 5 hivi kwenye huo uwanja
 
Lugha ya kiingereza ina misamiati mingi kuliko kiswahili, usijichanganye. Dad, father, yote yana maana ya baba. Kiswahili tuna baba tuu, daraja (bridge) huunganisha pande au kingo mbili mfano la kigamboni, flyover na barabara za juu. Huu ni uelewa wangu mkuu
Flyover linatumiwa zaidi Na waamerica bridge linatumiwa waingereza .
 
Je, tukiangalia depreciation ya shillingi tangu mwaka 2006 uwanja ulipojengwa, kuna uwiano na uhalisia au tumepigwa?
View attachment 870241

Maana kwa kuangalia kwa haraka haraka zinatoka flyover kama 5 hivi kwenye huo uwanja
Umeandika kifupifupi sana.

Zinatoka flyovers kama 5 kivipi, thamani iliyojengea flyover ipo chini ama ipo juu ya thamani halisi?

Embu funguka.

Na kipi ujenzi wake ni complex, uwanja ama madaraja?

Toa mchanganuo tuchangie.
 
Chukua daraja moja ulisimamishe kwenda juu. Utapata ni sawa na urefu wa jengo la ghorofa arobaini hivi. Zidisha mara mbili. Then jiulize gharama za kujenga jengo la ghorofa arobaini ni sh ngapi. Utagundua ni karibu na bilioni themanini x 2!
Wewe shuleni kwenye somo la hesabu hukuwahi fikisha zaid ya asilimia 50. Akiamungu kabisa
 
Back
Top Bottom