Tutafakari maajabu haya katika ndoa

Wewe Paulo bhana, IQ yako iko juu sana Mkuu.

Big up.
 
Hahaha. Asante bana. Acha nii-screenshot hii, niongeze kwenye CV.

Paulo jana nilipitia hii msg yako nikajihakikishia kuwa IQ yako ikoo juu. Naona umefika mbali mpaka ku- screenshot kitu ambacho kwa akili yangu nisingefikiria huko.

big up Mkuu with your high thinking capacity.

I give you five!!!!!
 
Hahaha dah! Haya bana.
 
MKUU, ninachoweza kuchangia ni kwamba, xzamani vijana kama sisi tulikuwa tunaheshimu miiko ya wazee, has a mashauri juu ya nani mke afaae, tofaut nasiku hizi ambapo vijana huparamia wasichana kwa tamaa na si mapenzi ya dhati ya kuwa make. 2. wazaz wamebadili harusi kuwa sehemu ya kupiga dili.utakuta mahari lundo tafkir mnanunua gari. 3Sifa ya kuweka rekodi kuwa harusi imefana na hapatatokea nyingine ya namna hiyi.

UJUMBE, BADO WAZEE WETU WANAYINAFASI YA KUTUSHAURI JUU YA MKE NA MUME BORA PAMOJA NA MAOMBI KWA MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…