MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Aiseee yaani awawezi kunielewa kabisaWatu wameungua akili ndugu hawawezi kukuelewa.
Umetaka kutetea ujinga umeshindwaKesho utasikia "TANZANIA" yanyimwa mkopo wa UsD 30 Bilion na IMF kwa kukataa kuhalalisha Ushoga halafu Mazwazwa yatashangilia, Leo ukiwaulza UN takwimu sahihi ya watoto waliouawa Bila hatia na mabomu ya marekani huko syria Afghanistan na Iraq watakwambia "Ni nchi zinazoongoza kwa Amani na Furaha"View attachment 885887
Kesho utasikia "TANZANIA" yanyimwa mkopo wa UsD 30 Bilion na IMF kwa kukataa kuhalalisha Ushoga halafu Mazwazwa yatashangilia, Leo ukiwaulza UN takwimu sahihi ya watoto waliouawa Bila hatia na mabomu ya marekani huko syria Afghanistan na Iraq watakwambia "Ni nchi zinazoongoza kwa Amani na Furaha"View attachment 885887
Aiseee yaani awawezi kunielewa kabisa