Kwangu pia hakuna mabadiliko ila kwa mwenye taarifa atufahamishe
roho inauma ila tujipe moyo. Kupitia uzi huu tupeane updates dears!!! Lakini nadhan hawapo mbali!! Fani ina akili sana nadhan kuanzia mwakan competition itakuwa kubwa sana ndipo hapo watakapogonga "tufungulie, tufungulie" tutawajibu, hatukufunga sisi.
Roho inauma ila tujipe moyo. Kupitia Uzi huu tupeane updates dears!!! Lakini nadhan hawapo mbali!! Fani ina akili sana nadhan kuanzia mwakan competition itakuwa kubwa sana ndipo hapo watakapogonga "tufungulie, tufungulie" tutawajibu, hatukufunga sisi.
jaman wakuu nimesikia kuwa Tumain Mbeya Centre wakishitikiana na NACTE wanatoa kozi hiyo teena buree.
sasa najiuliza je ni kweeli?? na kama ni kweeli muda si ushapita wa ku apply??
jama wenye taarifa wanijuze nina mdogo wangu alichelewa ku apply na anavigezo. plz help

Kichwa kinauma
wakuu nimewaulza nacte kwenye ukurasa wao fb wamenjbu kuwa tuendelee kusubr selection kwan hata hvyo walikuwa wameongeza deadline 23/10/2015 hvyo wamedai tuwe na subra kwan muda haugandi.