Tutaanza lini uwajibikaji watanzania??

Tutaanza lini uwajibikaji watanzania??

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Posts
8,397
Reaction score
7,979
Eti inakuwaje kamanda wa ulinzi na usalama wilayani analaumu wanausalama wenzie kusababisha watoto wetu kufa pale Luxury Pub badala ya kuanza kujilaumu yeye kwa kutowapanga vizuri. Jamani tuanze kuwajibika kwa matendo yetu....
 
Back
Top Bottom