KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,314 Jun 23, 2010 #1 Topic za Malari sugu kwani hazina tija na anatafuta cheap popularity. Kwa kufanya ivyo atapata akili na ataacha utoto.
Topic za Malari sugu kwani hazina tija na anatafuta cheap popularity. Kwa kufanya ivyo atapata akili na ataacha utoto.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,663 Jun 23, 2010 #2 Kama una ushahidi wa kutosha mi naona ungeasiliana na invisible afanye kitu flani.
doup JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 2,718 Reaction score 2,899 Jun 23, 2010 #3 jamani tusimtenge! kondoo huyu atapotea kabisa
Jayfour_King JF-Expert Member Joined Nov 15, 2009 Posts 1,135 Reaction score 131 Jun 24, 2010 #4 Dhambi ya ubaguzi itatuacha?
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,006 Jun 24, 2010 #5 Mwacheni tu aendelee na sreds zake ingawa nyingine ingawa ni chache huwa ni nzuri. Najua kiaranja wetu mkuu Invisible atakuwa anampimia tu na siku akiharibu sana utasikia BANNED; MALARIA SUGU!
Mwacheni tu aendelee na sreds zake ingawa nyingine ingawa ni chache huwa ni nzuri. Najua kiaranja wetu mkuu Invisible atakuwa anampimia tu na siku akiharibu sana utasikia BANNED; MALARIA SUGU!